Comprehensive Engineering & Construction Solutions
Tunatoa huduma za ujenzi wa miundombinu kama barabara, madaraja, mifereji ya maji, na miradi mingine ya kiraia kwa kutumia teknolojia za kisasa na viwango vya hali ya juu.
Tunajihusisha na ujenzi wa majengo ya makazi, biashara, na viwanda kuanzia hatua ya msingi hadi kukamilika (turnkey projects).
Tunafanya ukarabati na uboreshaji wa majengo na miundombinu ili kurejesha ubora, kuongeza maisha ya matumizi, na kuboresha muonekano.
Tunatoa huduma za matengenezo na ukarabati wa mitambo ya viwandani, power plants, na mashine mbalimbali ili kuhakikisha zinafanya kazi kwa ufanisi mkubwa.
Huduma za ukarabati, matengenezo, na usimamizi wa vifaa vya kuzalisha umeme kama turbines, generators, na mifumo mingine ya nishati.
Ufungaji, ukarabati, na matengenezo ya mifumo ya usalama kama CCTV, access control systems, na vifaa vingine vya ulinzi.
Matengenezo ya vifaa vya ofisini kama printers, computers, na vifaa vingine vya IT ili kuhakikisha vinafanya kazi bila hitilafu.
Usambazaji wa vifaa vya ujenzi kama cement, steel, aggregates, pamoja na vifaa vingine vinavyohitajika kwenye miradi.
Tunatoa kemikali za ujenzi (kama waterproofing, adhesives) na vifaa vya insulation kwa ajili ya kulinda majengo dhidi ya joto, unyevu, na uharibifu.
Upangishaji wa mashine na vifaa vya ujenzi kama excavators, generators, na tools mbalimbali kwa gharama nafuu.
Tunatoa vifaa vya usalama kazini (PPE) kama helmets, gloves, boots, na vifaa vingine vinavyolinda wafanyakazi.
Tunasaidira kuagiza vifaa na vipuri kutoka nje ya nchi kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama nafuu.
Usimamizi wa miradi kuanzia kupanga, kutekeleza, kufuatilia hadi kukamilisha kwa wakati na ndani ya bajeti.
Tunatoa huduma za makadirio ya gharama za miradi ili kusaidia kupanga bajeti sahihi na kudhibiti matumizi.
Tunatoa na kushauri matumizi ya software za usimamizi wa miradi na makadirio ili kuongeza ufanisi na uwazi katika kazi.